Leo nilikuwa na soo moja tu
nikitoka tao nikienda hom...
Fare ilikuwa 50bob. Sasa
kuingia mat nkaona kadem
flani kamejibeba.... mimi na
balls zangu nikaenda kujiketisha hapo.... saaa
conductor akakam kuitisha
fare.... nkampa soo yangu..
just coz nlikuwa nimegotea
huyu dem.. akaasume tuko
pamoja.. hakuitisha fare yake... Soo yangu ikazama.. Sasa vile tulishuka, dem hata
hakunibongesha... kumbe
kulikuwa na kimsee
kinamtegea.... kikamhug na
kumkiss... nilitaka kuitisha my
50bob but mat ilikuwa imeenda... Aki maboyz,
ukiingia mat ukae next na
dem, never talk to her until
amelipa fare